SPIKA wa bunge la Jamuhuri Ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai amekubaliana na barua iliyotumwa na Mwenyekiti wa cha cha wananchi CUF Prof IBRAHIM LIPUMBA kwa kuwafuta unachama wabunge 8wa chama hicho
Spika amesema kufwatia msimamo wa chama hicho kuwafuta uwanachama mabunge hao 8 wanapoteza vigezo vya kuwa wabunge wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania
Alisema spika Nachuka nafasi hii kuutaarifu Umma kuwa nafasi za wabunge hao zipo wazi
TOA MAONI YAKO
0 comments:
Post a Comment