Waziri mkuu wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Mh MAJALIWA leo ame wasimamisha kazi watumishi wa umma wa wilaya ya mbozi iliyopo mkoa Mpya wa Songwe
Mh Waziri mkuu kamsimamisha kazi mkurugenzi kaimu mkurugenzi watumiahi idara ya fedha na watumishk idara ya manunuzi
Amesema wilaya ya mbozi ni moja ya wilaya inayo nuka rushwa na ufisadi amesema watu hao wako chini ya TAKUKURU mpka watakapo toa taarifa rasmi
Kazi hyo ya kuhakikisha watumishi hao wa Umma kusimamishwa imetokana na jitihada za mbunge wa jimbo la Vwawa Mh Hasunga wa chama cha mapinduzi ccm
Mbunge huyo makini ambae pia ni mtaalamu wa mambo ya uchumi alisema hayuko tayari kuona fedha za wapiga kura wake wananufaika wachache na huo ni mwanzo
Alimaliza na kusema Mafisadi hawana nafasi katika mkoa mpya wa Songwe
0 comments:
Post a Comment