Uongozi wa chama cha mapindu tawi la bokorani umelaani kauli za mwenyekiti wa CHADEMA chalinze MATHAYO TORONGEY mwenyekiti huyo wa chadema ametoa maneno ya kujigamba kwamba liletukio la kumteka JOSEPH YONA mwenyekiti wa chama cha mapinduzi january 3 mwaka 2013 yeye anahusika au anawajua wahusika walio mteka
Kupitia ukurasa wake wa facebook MATHAYO TORONGEY Amedai kuwa operation hiyo ilifanywa baada ya chama hicho kusema Joseph yona ni msaliti wao torongey ni mwanachadema na na mwenyekiti wa chalinze
Katibu wa siasa na uenezi wa chama cha mapinduzi tawi la bokorani GODFREY HINJUSON amesema hata kama JOSEPH YONA alifanyiwa tendo hilo akiwa CHADEMA kama chama wanalaani kauli za Mwenyekiti wa chadema MATHAYO TORONGEY nakutaka mamlaka husika kuchukua hatua dhidi yake
JOSOPH YONA aliye onyesha ukomavu wa kisiasa kwakuwa na na uwezo wakuhoji. Na kusimamia misingi ya sheria za utawala bora kitu ambacho kilimfanya ashindwe kuendelea na CHADEMA kwani CHADEMA haiendeshwi kwa misingi ya demokrasia mpka kupelekea viongozi wake na wanachama kukosa kauli dhidi ya chama chao
Kwa sasa joseph yona ni mwenyekiti wa tawi la ccm bokorani alikili kuwa ccm ni chama makini chenye kuwa na mikakati ya kuishi zaidi ya miaka Mia alienda mbali na kusema mchakato wa kumpta mwenyekiti wa tawi ccm ni mgumu kuliko mwenyekiti wa taifa Chadema
Najivunia kuwa Mwenyekiti wa Tawi n nitawatumikia wana ccm na wananchi wote wa bokorani
0 comments:
Post a Comment