Kupitia ukurasawa wake wa facebook mwenyekiti wa CHADEMA challinze MATHAYO TORONGEY amekubali kuwa chama cha democrasia na maendeleo Ambacho siku zote kimekuwa kikilia majukwani kuomba dhamna kwa wananchi kupewa ridhaa ya kuongoza Taifa hili ambalo linajivunia tunu zake za amani upendo na mshikamano
JOSEPH YONA ni mwenyekiti wa chama cha mapinduzi tawi la bokorani ambae mitazamo yake chanya nyenye tija kwa Taifa na wananchi wa hali ya chini Alifanyiwa unyama huo akiwa MWENYEKITI WA CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA) WILAYA YA TEMEKE
Katika hali ya sinto fahamu alichukuliwa na kundi la watu ambao walikuwa hawajurikani na kupigwa kuteswa na kutupwa lakini kupitia Mwenyekiti wa chalinze swala hili linakuja na mitazamo tofauti JE? CHADEMA ni chama cha kisiasa au kijasusi?
Aidha Mwenyekiti wa Ccm tawi la bokorani kasema atakuja na tamko rasmi kufwatia na kauli za mwenyekiti wa chadema chalinze alisema nilicho fanyiwa ni kitendo cha ukatili razima nichukue hatua.
Lakini alipata wasaa wa kuwashauri wanasiasa wote nchi katika vyama vyote vya kisiasa kuto kuwa na uoga wa kuhoji pale wanapo ona uongozi wa vyama vyao hautendi haki wasikubali kuburuzwa nilipo kuwa chadema nilihoji na nilipinga ukiukwaji wa sheria sikufungamana na vitendo ambavyo niliona havina tija hata ccm nitasimamia haki naamini nilitendewa haya sababu ya kusimamia haki na sheria Naipenda Tanzania nalipenda Taifa langu
By
Chairman's personal assistance
0 comments:
Post a Comment