Chama cha mapinduzi kimempongeza mbunge na mwanachama mwenzao Salim Hassan Turyk Mbunge wa jimbo la mpendae kwakuonyesha utu na ukomavu wa kisiasa na upendo kwa mwanasiasa na mwanasheria wa chama cha chadema Tundu Lissu baada ya kuvamiwa na watu wasio julikana wakiwa na sira
Mbunge huyo alitoa udhamini kwaajiri ya kupatikana ndege ya kumpeleka Lissu kenya kwaajiri ya matibabu
Aidha chama kupitia polepole wamesema Mbunge huyo ni mfano wa kuigwa kunako mattzo basi tofauti za kisiasa zikae pembeni utu na ubinadamu uchukue nafasi
0 comments:
Post a Comment